Kikosi cha jeshi la Magereza kikipita mbele ya maofisa hao
Kikosi cha Bendera kutoka Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ kikipita.
Kikosi cha Wanamaji kikitembea kwa Mwendo wa Polepole.PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakumbuka nilipokua ukraine, wanapokua washerehekea siku ya uhuru au siku ya jeshi watu huamka asubuhi na mapema na kujaa ktk central park ya kila mji ili kuangalia gwaride linaloambatana na sherehe hizo.
ReplyDeletehapa home naona uwanja unapwaya sijui nauli zimekosekana?au ndio ahhh nisijiuzie maandazi yangu mie nikawaangalie walioshiba.
mbona wazee wa Bongo Tambarare kina ras makunja hawaonekani hapa? kulikoni tuseme wao hawamo!
ReplyDeleteano wa kwanza: Hapo ni matayarisho. Kesho National (uwanja wa wilaya/mkoa) full nondo hata mate hayatemeki
ReplyDelete