Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoa wa Katavi,tayari kwa ziara yake ya kikazi katika jimbo la Katavi kukagua shughuli za maendelo.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya maofisa wa shirika la nyumba NHC ambao wapo mkoani Katavi katika ujenzi wa nyumba katika mkoa huo mpya.Picha na Chris Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...