Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akihutubia Mkutano Mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Mhe. Stephen Masele akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini nchini, uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (wa kwanza kushoto), na Naibu wake Mhe. Stephen Masele wakishiriki katika mkutano mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Uongozi wa mpito kitaifa wa Chama cha Wachimbaji Wadogo wa Madini mara baada ya kuchaguliwa na mkutano wao mkuu wa mwaka uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (katikati) katika picha ya pamoja na makamishna wasaidizi wa madini kutoka kanda mbalimbali, mara baada ya kufunga mkutano mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...