Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tasaf Ladislaus Mwamanga,alipowasili katika Ufunguzi wa Warsha ya Siku mbili kuhusu Mpango wa Taifa wa Kujenga Uelewa kwa Wajumbe wa kamati za Uongozi na menejment za Tasaf ili kunusuru kaya Maskini,iliofanyika huko Hotel ya Zanzibar beach Resort Mazizini.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba ya ufunguzi wa Warsha ya Siku mbili kuhusu Mpango wa Taifa wa Kujenga Uelewa kwa Wajumbe wa kamati za Uongozi na menejment za Tasaf ili kunusuru kaya Maskini,iliofanyika huko Hotel ya Zanzibar beach Resort Mazizini.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria katika Warsha ya Siku mbili kuhusu Mpango wa Taifa wa Kujenga Uelewa kwa Wajumbe wa kamati za Uongozi na menejment za Tasaf ili kunusuru kaya Maskini,iliofanyika huko Hotel ya Zanzibar beach Resort Mazizini.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Tasaf Ladislaus Mwamanga,alipofungua Warsha ya Siku mbili kuhusu Mpango wa Taifa wa Kujenga Uelewa kwa Wajumbe wa kamati za Uongozi na menejment za Tasaf ili kunusuru kaya Maskini,iliofanyika huko Hotel ya Zanzibar beach Resort Mazizini.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...