Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa jengo
la Chuo cha Utumishi wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja
jana,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Utumumishi wa Umma na Utawala Bora Haji
Omar Kheir.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma,(IPA) Harusi Masheko Ali,alipotembelea madarasa ya kusomea,baada ya ufunguzi rasmi wa Jengo la Chuo hicho uliofanyika jana Tunguu, Wilaya ya Unguja, katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akifuatana na Waziri wa
Utumumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir,(kushoto) pamoja na
Viongozi wengine baada ua kulifungua jengo la Chuo cha Utumishi wa
Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra
za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiwahutubia Wananchi,
katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Chuo cha Utumishi wa
Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra
za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,Mwenyekiti wa Baraza la
Chuo Maalim Abdalla Suleiman,(wa pili Kulia) na Waziri wa Utumumishi
wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir,(kushoto).
Baadhi ya walimu na wafanyakazi wa Chuo cha Utumishi
wa Umma,wakiwa na nyuso za Furaha wakati wa sherehe za Ufunguzi wa
Jengo la Chuo,uliofanyika jana Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini
Unguja,ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi na Wananchi walioalikwa katika
sherehe za Ufunguzi wa jengo la Chuo cha Utumishi wa
Umma,zilizofayika jana huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja,
wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi Rais wa Zanzibar,alipokuwa akitoa
hutuba yake katika kusherehekea shamra shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...