Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakimuonyenyesha Mh. Dr Christian Mzindakaya shamba lao la mahindi lililopo katika kijiji cha kibaoni Mkoani Katavi,Wakati waliotembelea Shamba hilo.nyuma ya Mh. Mzindakaya ni mke wake,Mama Theresia Mzindakaya ambao walimtembelea Waziri Mkuu kijiji kwake kibaoni
Dr Christiani Mzindakaya akiangalia mahindi katika shamba la Waziri Mkuu na mahindi lililopo katika kijiji cha kibaoni Mkoani Katavi,Wakati waliotembelea Shamba hilo.Picha na Chris Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...