Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala,Mh. Pindi Hazara Chana akizungumza na Wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka ,2012/2013,kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Tume za Haki za Kibinadam Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam leo.kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassan.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza kwa Makini Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala,Mh. Pindi Hazara Chana alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya Bajeti ya Mwaka 2012/2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Tume ya Haki za Kibinadam Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ali Meja)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...