Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa tatu kushoto) akipokea sehemu ya vifaa 100 vya kubebea taka vyenye thamani ya sh milioni 3.5,kutoka kwa Meneja Mikopo wa BankABC, Eugenia Shayo (wa pili kulia) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika kwenye Ofisi ya Meya,Kinondoni jijini Dar leo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Mh. Yusuph Mwenda akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Aibu kwa Meya kupokea vifaa hivyo.

    Kodi zote munazokusanya munashindwa kukusanya taka?

    ReplyDelete
  2. Humu naona meya wa Ilala na huyu wa kinondoni, Temeke hakuna Meya? au pengine siyo "Photogenic" ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...