wadau WaTanzania waliopo Ukraine katika  sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyoandaliwa na Wanazuoni wakiTanzania waishio Kharkov, Ukraine.  Wadao hao hivi sasa wapo katika kusaka nondozzz za  taaluma mbalimbali ikiwamo Udaktari, Uhandisi, IT/Software Eng., Urubani, Uchumi, nk.
Keki ya mnuso
 Wadau mnusoni
 Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya, Bw. Juma Haji Nakhunte
 Mnusoni
 Wadau na keki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. safi sana ila huyo alovaa madude ya kitanganyika YA KIMASAI .....kaifuja shuguli yote ilikuwa huyo jamaa mumtoe kwa bakora na nguo zake nuksi hizi

    ReplyDelete
  2. duh watanzania wamefika hadi ukraine!!! sawa sawa!!!!

    ReplyDelete
  3. ola salam zenu wadau mi nipo istanbul,turkey nasoma ningependa tujuane zaidi facebook my email phatraser@hotmail.com,mkiweza mni "add"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...