wadau WaTanzania waliopo Ukraine katika  sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyoandaliwa na Wanazuoni wakiTanzania waishio Kharkov, Ukraine.  Wadao hao hivi sasa wapo katika kusaka nondozzz za  taaluma mbalimbali ikiwamo Udaktari, Uhandisi, IT/Software Eng., Urubani, Uchumi, nk.
| .jpg) | 
| Keki ya mnuso | 
 Wadau mnusoni
 Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya, Bw. Juma Haji Nakhunte
 Mnusoni
 Wadau na keki


 
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
safi sana ila huyo alovaa madude ya kitanganyika YA KIMASAI .....kaifuja shuguli yote ilikuwa huyo jamaa mumtoe kwa bakora na nguo zake nuksi hizi
ReplyDeleteduh watanzania wamefika hadi ukraine!!! sawa sawa!!!!
ReplyDeleteola salam zenu wadau mi nipo istanbul,turkey nasoma ningependa tujuane zaidi facebook my email phatraser@hotmail.com,mkiweza mni "add"
ReplyDelete