Waziri wa nchi, Ofisi ya ya Rais (mahusiano na Uratibu) na Mbunge
wa Bunda Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless
Lema katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Baadhi wa wabunge wakielekea katika ukumbi wa mkutano Bungeni mjini Dodoma
Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe (kulia) , Mhe Godless Lema (katikati- Arusha
mjini) pamoja na Mbunge wa Musoma Mjini, Mhe Vicent Nyerere wakielekea katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Mbunge
Lema amerudi tena Bungeni baada
ya kushinda kesi yake
Wabunge
wa Iramba Magharibi Mhe Mwingulu
Nchemba- CCM (kulia), Mhe Joseph Selasini( Mbunge wa Rombo- CHADEMA ), na Mbunge wa NCCR-
MAGEUZI, Mhe Moses Machali wakiwa katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma(Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
hivi nasi tunaruhusiwa kuvaa bendera ya taifa kama anavyofanya huyu ndugu? Akitukana mtu ameivaa inakuwaje.
ReplyDeleteSheria ya alama za Taifa inasemaje?
Wahusika wanaangalia tu?
MDAU NAMBA MOJA
ReplyDeleteACHA UKOLONI
Watanzia wengi hatujui kwamba, kuwa alama ya taifa karibu yako iwe skafu,bendera,nguo ni moja kati ya uzalendo unaozungumziwa, mdau wa kwanza hapo juu anauthibitishia umma juu ya ufahamu mdogo walionao wengi huko nyumbani juu ya matumizi ya bendera ya taifa.Kwa wanadiaspora hili ni suala lenye kueleweka na la kujivunia.
ReplyDelete