Home
Unlabelled
Taswirazz za Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hili shamba la migomba nalipenda.
ReplyDeleteBw. Michuzi, ahsante kwa picha hizo.
ReplyDeleteLaiti kila picha ungeiwekea maelezo walau kiduchu ingefaa zaidi.
Picha nzuri.Laiti kila picha ingewekewa maelezo walau kiduchu,
ReplyDeleteingependeza zaidi.
Angalia ardhi ilivyo ba rutuba, halafu bado tunalia njaa!
ReplyDeleteTaswira inapendeza lakin hilo shimo barabara itakatika mvua ikinyesha. Wadau waliangalie kwa makini
ReplyDeletehAZINA ILIYOSITIRIKA WENGI HAWAJUI KABISA KAMA KIGOMA KUNA NDIZI ZA KUMWAGA NA KUHAWA bORA KULIKO ZOTE TANZANIA
ReplyDeleteShamba ni zuri sana utafikiria huko Bukoba, mwenye shamba hili nampa Bigup hata kama ni la Serikali anayelishughulikia hongera sana
ReplyDeleteNchi ya asali na maziwa! Nchi yenye ardhi yenye rutuba. Wale omba omba Dar wanafanya nini jamani wasirudi nyumbani kwenye neema ya vyakula kuliko kuteseka kwenye jua??
ReplyDelete