Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Bw. Methew Sedoyeka akifurahia jambo wakati wa warsha ya wadau katika wilaya ya Sumbawanga mkoa wa Rukwa, wengine kushoto Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta na Fred Kandonga Ofisa Sheria wa Tume.
Ofisa Sheria wa Tume Fred Kandonga akimkabidhi kalenda za Tume Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Bw. Francis Kilawe wakati maofisa wa Tume walipotembelea ofisini kwake.
Washiriki wa warsha ya wadau wilayani Sumbawanga wakimsikiliza mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga.
Ofisa Sheria wa Tume Fred Kandonga akiwasilisha mada ya Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 mbele ya wadau wa sheria.
Wadau wa sheria wilaya ya Sumbawanga mkoa wa Rukwa wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa na maofisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...