Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania,Bibi Liz Lioyd ambaye alimtembelea ofisini kwake magogoni leo.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania,Bibi Liz Lioyd (pili kulia)pamoja na maofisa wengine wa Benki hiyo ambao walifika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni kwajili ya mazungumzo ya kikazi.Picha na Chris Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...