Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani,Dk Selassie Mayunga akiwa amejumika na wananchi wa kijiji cha Sale,wilayani Ngorongoro kwenye mkutano uliokuwa unahutubiwa na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka kwenye ziara ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani humo.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)akizungumza na wananchi wa vijiji vya Olorien Magaiduru na kijiji cha Mgongo,Kata ya Samunge katika ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani Ngorongoro
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...