![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Fakihi Jundu, Jaji January Msofe, Spika Anne Makinda, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Mathias Chikawe na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo Februari 6, 2013 baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
Viongozi wa dini ya Kihindu wakielekea kwenye kipaza sauti ili kuomba dua leo Februari 6, 2013 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini. Viongozi wa dini za Kiislamu na Kiktristo pia walishiriki kwenye maadhimisho hayo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama ya Rufaa leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wakuu wastaafu na viongozi wengine leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu Rais wa Mawakili leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
very strange how the speaker wears that gown outside parliament. Many parliaments got rid of such stuff long time ago.
ReplyDeleteNormally such occassions start with religious services etc, not sure why the speaker is there. The position has been over glorified.
ReplyDeleteNdugu zangu. Tuone Chanya. Mahakimu na wanasheria wamejitofautisha katika mavazi yao. Muhimu Spika kama Mkuu wa watunga sheria kupitia mhimili wa Bunge naye aonekane bila kuhisi. Kinachomuonyesha ni vazi lake. Hapa Vazi ndilo linazungumza na siyo sura.
ReplyDeleteShida yangu: Kwa nini picha nyingi vile? Ni kujaza nafasi au vipi Michuzi?
Separation of power:
ReplyDelete1. Judiciary
2. Executive
3. Legislature
kila upande lazima utambulike kwa image yake yaani lugha ya picha; yaani ukiona majoha hayo mekundu katika mshono huo unajua hii ndio mahakama yaani watafsiri sheria. ukiona joha kama hilo la mama makinda unajua huyu ni spika (bunge) yaani watunga sheria. na ukiona suti kama ya kikwete unajua hiyo ndio watendaji yaani watekelezaji wa sheria zinazotungwa na bunge na kutafsiriwa na mahakama. HIVYO SIKU YA SHERIA LAZIMA WOTE WASHEREKEE INGAWA WAANDAJI WA SHEREHE NI JUDICIARY WING OF POWER.
Kweli wabongo kufikiri ni tatizo. Unapohoji uwepo wa spika katika maadhimisho ya siku ya sheria unakuwa na maana gani? Siku ya sheria sio siku ya mahakama! Bunge ndilo linalotunga sheria sasa kwa nini lisiwakilishwe katika siku ya sheria nchini? Na kuhusu vazi kwani linaondoa au kuongeza nini? Kwamba mabunge mengine wameondoa ndo sababu pekee ya sie pia kuondoa? Mi nadhani wakati mwingine tunakosoa alimradi tu kukosoa pasi na kuangalia kwa makini mambo tunayoyakosoa!
ReplyDelete