Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. WAKUBWA JADILINI NA SWALA LA MICHANGO YA HARUSI HUKO BONGO JAMANI ITS TOO MUCH SASA, YAANI IMEZIDI MNO!!NI KERO KWA KWELI.

    ReplyDelete
  2. Kwenye kula kila mtu kivyake hakuna ndugu wala jirani. Kuwa mjanja ili umudu maisha.

    ReplyDelete
  3. interesting! tuwekee sehemu ya pili basi

    ReplyDelete
  4. Wabongo ni watu wasiotaka kubadilika. Hapo wadau wanazungumza kwa makelele utafikiri wanagombana. Watu wa ughaibuni hawatakiwa kusema kwa makelele. Pia Wabongo wanachukua ndugu Ughaibuni kuwanyonya ni tabia mbovu.

    ReplyDelete
  5. Hi,mada ni nzuri ila wewe mkaka mbona huwapiwenzio nafasi? Kijiwe kama cha mtu mmoja tu?

    Mdau Riyadh-KSA.

    ReplyDelete
  6. MGONJWA INATEGEMEA ULISHI VIPI NA WATU,MAREHEMU HAOZI TATIZO LIGINE HII GENARATION YENU YA SASA BALAA WALIOKUWA MAJUU NA ZUBLA(BONGO)WALEWALE.ALL IT'S ABOUT YOUR ATTITUDE CHANGE MY ATTITUDE AFFECT MY BIHAVIOUR,ANY WAY MADA YENU NZURI TATIZO ONE MAN SHOW.

    ReplyDelete
  7. Tunapozungumzia misaada kwa kweli sisi wabongo hatupendi kusaidiana ni wachache sana tofauti na wenzetu WAZANZIBARI wanakaa pamoja na wanasaidiana na wanakuwa na imani na wengine unawakuta wanaishi kama ndugu wa damu kabisa tofauti na sisi wabongo mimi mwenyewe nimeshasaidiwa na wazanzibari kibao tuu.

    ReplyDelete
  8. Good CREATIVITY well done boys, Salama Jabir vijana wanakuja hao !

    ReplyDelete
  9. Yes hawa watu wanazungumzia ukweli mtupu. Mimi nilifiwa na mke wangu hapa Canberra, nikampigia simu jamaa mmoja kuwa mazishi yatakuwa siku fulan, I knew this guy since I came to Canberra - jibu alilonipa "am busy mate sorry, can't make it. I think he thought we were after michango. We didn't need the money all we needed was the support of people. Watu wengine wanakuwa wanyama haswa wakiisha ishi huku, I was shocked maana mimi nilikokulia, ukisikia mazishi basi ni lazima kwenda. Anyway, it does not worry me at al, am always prepared.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...