NMB inaendelea kupanua mtandao wake wa matawi na kusogeza huduma karibu na wateja ili kuleta urahisi wa kupatikana kwa huduma za kibenki.

Kwa kupanua wigo wa matawi yake, hivi karibuni benki ya NMB imefungua tawi la NMB Kurasini lililopo katika jengo la Uhamiaji Makao Makuu Dar es salaam, Tawi la NMB Congo Street lililopo katika mtaa wa kongo karibu na kituo cha mafuta cha Big Born Kariakoo na tawi la NMB Himo lililopo njia panda ya Marangu na Holili mkoani Kilimanjaro.

Kwa kufunguliwa kwa matawi hayo, NMB sasa ina zaidi ya matawi 149 nchi nzima na inabaki kuwa ndiyo benki ya kwanza yenye matawi mengi na ATM nyingi zaidi nchini,ambapo asilimia 95% ya matawi yake yamesambaa katika maeneo ya vijijini.

NMB Kurasini
S.L.P. 9031
Simu : +255(0) 22 2850981
: +255(0) 22 2850984
Nukushi : +255(0) 22 2850985

NMB Congo Street,
S.L.P. 15195,
Simu: +255(0) 22 81812
Nukushi: +255(0) 22 81813

NMB Himo
S.L.P. 183
Himo, Kilimanjaro
Simu: +255(0) 027 2757605/8

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...