Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (kushoto) akizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano na Mwakilishi Mkazi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini, Dkt. Alberic Kacou. Mazungumzo hayo yalifanyika Wizarani tarehe 8 Februari, 2013.
Balozi Mushy kulia akimsikiliza Dkt. Kacou wakati wa mazungumzo yao leo.
Dkt. Kacou akimsikiliza Balozi Mushy wakati wa mazungumzo yao leo. Mwingine katika picha ni Bi. Tunsume Mwangolombe, Afisa Mambo ya Nje akinukuu mazungumzo hayo. Picha na Rosemary Malale

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mkuu vipi 'usafiri' wa huyo dada?

    ReplyDelete
  2. hehehehehehe mnyalu we mkali.. nenda Foreign umtafute.. teh teh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...