Home
Unlabelled
New City Centre Waste bins....an Initiative by Green WastePro Ltd
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BASI KAMA JIJI LIMEKUWA NA BIN BASI TANZANIA KUMEKUCHA JAMANI.LOL MDAU WALTHAM FOREST.
ReplyDeletehilo jiwe walalivunja tu maana wakati wa kuzitoa taka zikijaa watakuwa wanalibeba mara kwa mara na siku litavunjika
ReplyDeletekazi rahisi sana serikali kuweka mabini ya taka ya maana yaliyosimamishwa kwa nguzo za chuma lakini watu wanakimbilia bungeni tu uraiani zero
Hongera sana Waste Green Pro!!!
ReplyDeleteKazi nzuri sana,
Wana Dari salama na wa Tanzania kwa ujumla tubadilike sasa, kwa kuwa Jiji limekuwa likitutia aibu sana kwa marundo ya taka taka, mifereji ya maji taka na kunuka uvundo!
Imefikia muda sasa hata ukitaka kula kitu OUTDOOR inakuwa mgogoro kwa kuwa kila sehemu ni chafu, na harufu kila mwelekeo wa pua hata kumeza chakula inakuwa vigumu!
Ndugu hawa wameanza na sisi tutoe ushiriakiano kwao.
TUFIKIE KUSEMA YA KUWA BILA UCHAFU DARISALAMA INAWEZEKANA!!!
Kinachofuata ziwekwe Sheria kali na adhabu kwa ukiukaji wa Usafi!
ReplyDeletePana Magahawa mmoja (jina kapuni) kati kari ya Jiji maeneo ya Posta Mpya pana Kituo cha mafuta na Mgahawa upo hapo,,,huwezi kuamini si utani pana chemba moja ina tiririsha maji taka huku harufu kali ya kinyesi ikizagaa kila kona!
Mimi nashangaa wanaokula mle ndani au waendeshaji sijui hawaisikii harufu ile?
Tutegemee Wageni wengi sana kutoka nje!,
ReplyDeleteKwa kasi hii ya uwekezaji nchini kutokana na Uchumi mpya wa Sekta za Gas,Oil and Minerls, Banking,Telecommunications and more.
Hivyo ili kuepuka aibu kutoka kwa wageni wetu tunahitaji kutoa ushirikiano wa dhati kuhusu suala hili la usafi Jijini kwa Wandugu hawa Green Waste Pro!
Pamoja inawezekana!
safi sana huu ni mfano wa kuigwa, nashindwa kuelewa kwanini makampuni ya simu yasingejitangaza kwa kusaidia kuweka dustbins
ReplyDeleteMpango huu naona vizuri wapeleke madebe haya ya taka taka katika shule za chekechea (vidudu), Shule za Msingi, na pia sekaondari zote katika Jiji la Dar Es salaam, na wawafundishe watoto umuhimu wa kutupa taka taka kwenye Madebe hayo. Maana kwa sa ni vizgumu sana kwa wtu wazima wengi wa Dar Es salaam kujua umuhimu wa kutupa tka kwenye Madebe hayo. Maana nilisha ona kampeine nyingi za aina hiyo bila mafaniukio. Madebe yaendane na Elimu. Mpango mzuri utaaza Jiji safi. Tuache mbwembwe za Meya wa Ilala na wengine wa kutaka Picha. Let bus be serious! Uchafu unatuau sana wana Dar es slaam. Unaua fikra, mititzamo na mnk.
ReplyDeleteWangeweka mawili, moja la "recyclable waste" na moja la taka nyenginezo. Mdau wa 2:20pm hapo Posta pana Ghorofa la Mall ukipita linatoa majitaka yenye harufu kali kabisa.
ReplyDeleteSafi sana....lakini hilo bin si bora liwekwe pembeni hapo pembeni na hayo mashimo ya karo ili njia ya waendao kwa miguu iwe wazi zaidi?
ReplyDeleteIna maana hapa ni DSM? eneo gani? mbona sijaona kitu kama hiki? Isije ikawa hapa ni MOSHI jamani au AR!
ReplyDeleteMdau hapo ni BONGO DA'SLAMAAM babake hapo ni kona ya Ohio Str. na Garden Evenue pele PPF Towers mwanawane wala sio sayari nyingine!
ReplyDeleteKwani wao Moshi na AR wakiweza na sisi tushindwe tuna nini?