Msanii Dokii na ngoma yake ya 'No One Like OBAMA'
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
No one like OBAMA= hAKUNA ANAYEMPENDA OBAMA
ReplyDeleteOBAMA IS LIKE NO ONE ELSE=OBAMA IS EXCEPTIONAL NI SAHIHI ZAIDI
lugha gongana hapa...
Nyimbo hii ipigwe Muheshimiwaakija Tanzania...lol
Dokii ama kweli unajua kupiga Tumba!
ReplyDeleteInawezekana watakuita Ubalozini ukala shavu kwenda UESIEI !
Ama kweli, safari zinatafutwa!
ReplyDeleteUkienda Ubalozini hupati pingamizi lolote kuomba visaya Marekani!!!
"No one likes Obama"= Hakuna anayempenda Obama
ReplyDelete"No one like Obama"= Hakuna kama Obama"
Dokii yuko sawa, hakuna lugha gongana hapo.
KAMA OBAMA ANGEKUWA NI RAISI WA TANZANIA HAPO SAWA,WIMBO HUU HAUNA MAANA YOYOTE.MDAU WASHINGTON.
ReplyDeleteMDAU WA WASHINGTON UMECHEMKA VIBAYA KAMA KAWAIDA YENU WATU WA HUKO, SIJUI KAMA UNAFAHAMU WIMBO WA MICHAEL JACKSON UNAOITWA LIBERIAN GIRL. LIBERIA NI NCHI ILIYO PWANI YA MAGHARIBI YA AFRIKA NA MAICHAEL JACKSON NI MMAREKANI SASA HAPA SIJUI UTASEMAJE? AU WIMBO WA SHAKIRA ULIKUA UNATUMIKA SANA KIPINDI CHA KOMBE LA DUNIA AFRIKA YA KUSINI,SHAKIRA SI MWAFRIKA ILA ALIIMBIA AFRIKA,MIFANO IPO MINGI ILA NADHANI KWA HUU, UJUMBE UTAKUFIKIA. BOX HIZI NAZO TAABU KWELI KWELI, MUPUMZIKAGE MARA BAADA YA DEI WAKA.
ReplyDeleteWEWE DOCK WIMBO WAKO MZURI SANAA LAKINI ULIPASWA UTOE SIFA HIZI KWA MHESHIMIWA KIKWETE KAMA KIONGOZI WAKO,OBOMA HAJAWAHI KUKUONGOZA WEWE, HUMJUI HATA KIDOGO.MDAU LONDON.
ReplyDeleteKujigongaje huku! Au Kujikombakombaje! Fuata ndoto zako binti! Utajuaje labda wimbo unaweza kukutoa! Kutoka ni kutoka umetokaje watajiju na maneno yao. Ooo mwimbei Kikwete! ooo luhga gongana! Endelea kujaribu kutoka!
ReplyDeleteHizo sifa zingemwndea Kikwete anagalau ungeitwa hata kwenye kusherekea maika 36 ya CCM
ReplyDeleteNO ONE IS LIKE OBAMA....ni sahihi zaidi
ReplyDelete