Msanii Dokii na ngoma yake ya 'No One Like OBAMA'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. No one like OBAMA= hAKUNA ANAYEMPENDA OBAMA

    OBAMA IS LIKE NO ONE ELSE=OBAMA IS EXCEPTIONAL NI SAHIHI ZAIDI

    lugha gongana hapa...

    Nyimbo hii ipigwe Muheshimiwaakija Tanzania...lol

    ReplyDelete
  2. Dokii ama kweli unajua kupiga Tumba!

    Inawezekana watakuita Ubalozini ukala shavu kwenda UESIEI !

    ReplyDelete
  3. Ama kweli, safari zinatafutwa!

    Ukienda Ubalozini hupati pingamizi lolote kuomba visaya Marekani!!!

    ReplyDelete
  4. "No one likes Obama"= Hakuna anayempenda Obama

    "No one like Obama"= Hakuna kama Obama"

    Dokii yuko sawa, hakuna lugha gongana hapo.

    ReplyDelete
  5. KAMA OBAMA ANGEKUWA NI RAISI WA TANZANIA HAPO SAWA,WIMBO HUU HAUNA MAANA YOYOTE.MDAU WASHINGTON.

    ReplyDelete
  6. MDAU WA WASHINGTON UMECHEMKA VIBAYA KAMA KAWAIDA YENU WATU WA HUKO, SIJUI KAMA UNAFAHAMU WIMBO WA MICHAEL JACKSON UNAOITWA LIBERIAN GIRL. LIBERIA NI NCHI ILIYO PWANI YA MAGHARIBI YA AFRIKA NA MAICHAEL JACKSON NI MMAREKANI SASA HAPA SIJUI UTASEMAJE? AU WIMBO WA SHAKIRA ULIKUA UNATUMIKA SANA KIPINDI CHA KOMBE LA DUNIA AFRIKA YA KUSINI,SHAKIRA SI MWAFRIKA ILA ALIIMBIA AFRIKA,MIFANO IPO MINGI ILA NADHANI KWA HUU, UJUMBE UTAKUFIKIA. BOX HIZI NAZO TAABU KWELI KWELI, MUPUMZIKAGE MARA BAADA YA DEI WAKA.

    ReplyDelete
  7. WEWE DOCK WIMBO WAKO MZURI SANAA LAKINI ULIPASWA UTOE SIFA HIZI KWA MHESHIMIWA KIKWETE KAMA KIONGOZI WAKO,OBOMA HAJAWAHI KUKUONGOZA WEWE, HUMJUI HATA KIDOGO.MDAU LONDON.

    ReplyDelete
  8. Kujigongaje huku! Au Kujikombakombaje! Fuata ndoto zako binti! Utajuaje labda wimbo unaweza kukutoa! Kutoka ni kutoka umetokaje watajiju na maneno yao. Ooo mwimbei Kikwete! ooo luhga gongana! Endelea kujaribu kutoka!

    ReplyDelete
  9. Hizo sifa zingemwndea Kikwete anagalau ungeitwa hata kwenye kusherekea maika 36 ya CCM

    ReplyDelete
  10. NO ONE IS LIKE OBAMA....ni sahihi zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...