Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Spika wa Bunge Anne Makinda ripoti yao. Kamati hiyo iliundwa na Mheshimiwa Spika kwa lengo ka kuaandaa Mapendekezo ya kuishauri serikali kuhusu kuainisha vyanzo mbalimbali vya Mapato ndani ya serikali yaliyo ya kodi na yasiyo ya kodi
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa amekabidhiwa ripoti hiyo
. Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao
Spika wa Bunge Anne Makinda akiwapongeza wajumbe wa kamati amati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato mara baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hiyo ambayo ataiwasilisha serikalini. Picha na Owen Mwandumbya
Kulia kwa spika ni mzee Change anaonekana yuko shepu kweli, kaa sawa tu mzee hawakuwezi eti !!
ReplyDelete