Jengo la zahanati katika kijiji cha Ihombwe wilayani Kilosa
lililojengwa kwa msaada wa Hifadhi za taifa Tanzania(TANAPA).
Jiwe la msingi katika jengo hilo.
Kaimu mhifadhi mkuu wa mikumi bw Damian Saru akizungumza na wanahabari
walipotembelea zahanati hiyo.
Muuguzi mkuu katika zahanati ya Ihombwe bi Eda Nundwe akizungumza na
wanahabari (hawako picani).
Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Ihombwe bw Philemon Robert
akizungumza na wanahabri (hawako pichani).Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...