Meneja Kiongozi Mahusiano, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia) akiwa katika mkutano huo.
Wawakilishi wa NSSF.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori akifafanua jambo wakati wa kutambulisha mfumo mpya wa kuwasilisha michango ya uanachama wa NSSF kwa njia ya M-Pesa uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa..
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...