Mkuu wa kitengo cha huduma za ziada na Mtandao wa Vodacom Tanzania Bw.Charles Matondane akiongea kwenye simu na mmoja wa washindi aliejishindia shilingi Milioni 5 katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu na Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bw.Abdallah Hemedy.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa..jpg)
.jpg)
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kushoto)akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi wa Promosheni ya"MAHELA"aliejishindia kitita cha shilingi Milioni 5 katika promosheni hiyo inayoendelea kuchezeshwa na kampuni hiyo,katikati ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Abdallah Hemedy,anaeongea kwa simu ni Mkuu wa kitengo cha huduma za ziada na Mtandao wa Vodacom Tanzania Bw.Charles Matondane.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...