Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Bw. Yukiya Amano akiwa kwenye mkutano akimsikiliza Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (hayupo pichani) wakati akitoa maelezo kuhusu matumizi ya mionzi nchini kwa ajili ya tiba kwa binadamu iikiwemo tiba ya saratani inayofanyika kwenye Hospitali ya Saratani, Dar es Salaam. Pamoja naye nae ni Prof. Sospeter Mhongo, Waziri wa Nishati na Madini nchini. Mazungumzo Hayo yamefanyika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es Salaam. Picha na Prisca Jackson, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof. Makame Mbarawa (kulia) akimpatia zawadi ya picha Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Bw. Yukiya Amano.
Waziri wa Nishati na Madini,Prof. Sospeter Mhongo akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Bw. Yukiya Amano mara baada ya kumalizika kwa mkutano wao uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.

Jamani mwandishi anaitwa prof. S. Muhongo sio P. Mhongo. kuweni makini na majina ya watu
ReplyDelete