Meal time for local tourist who made the last trip to Mikumi National Park and enjoyed the time of their lives. Most promised to make more and more such safaris to to both the excitement and well organised tour and affordable packages
Watching Hippos at Mikumi National Park
A great morning in Africa, In Tanzania Actually. This is a weekend trip that starts every saturday from Dar es salaam and return on late Sunday (2 days, one night). Food, transport, entry park fees and accommodation (camping) cost TZS 150,000/= per person for East Africans and US$ 165/= for Non EastAfricans.The difference in charges results from park entry and camping fees.While it costs east africans less than US$ 2 it costs a non East African almost US$60/=. We regret for this difference and we are incapable of changing it so that all could travel on same price basis
Tanzanian tourists arriving at Mikumi National Park at 1pm on 09/02/2013. Camoing at campsite No. 1 Join our upcoming trips: 16-17 Feb, 2013, Kilwa historical tour and 23-24 Feb, 2013 Selous game reserve tour.
Camp night fire at Mikumi National Park
Scared of camping in the wildness, the 14 local tourists have their tents pitched closely together for comfort. Hope one day they will believe that the National Parks are safe.
Join our upcoming trips: 16-17 Feb, 2013, Kilwa historical tour and 23-24 Feb, 2013 Selous game reserve tour.
Call us today on +255 222 761811 or +255 784 885 901 or visit www.lakelandafrica.com for details
Good times never last but good memories do!
|
CRDB pesa ya nini huko porini?
ReplyDeleteSafari nimeipenda!
ReplyDeleteHongera sana LAKELAND!
Du, kumbe Tanzania tuna raha namna hii?
Kwa kweli nimepata wivu wa maendeleo kwa jinsi Watalii wa ndani walivyo starehe kwa safari hiyo nzuri na natural kabisa!!!
Kisa cha cha kulala jirani na kitanda cha SIMBA ili iweje? akuuuu doli!!!!
ReplyDeleteNimeipenda nasubiri trip ya kwenye zile falls - morogoro
ReplyDeleteMdau wa 3 kulala jirani na Kitanda cha Mnyama SIMBA angalau kwa uchache inabidi uwe mwana YANGA ndio utamudu mwanawane!
ReplyDeleteAnnony wa kwanza, soma post vyema uielewe ndio uanze ku-comment. Aliyekwambia hilo lorry ni la ATM ya CRDB ni nani?
ReplyDeleteUkisikia Overland truck ndio hilo, acha kudandia gari kwa mbele...
Kwenu waandaji muangalie mpango mzima wa vyombo vya misosi.. hiyo picha ya miss akipakua chakula inaonyesha vyombo duni sana vikitumika.
Ohhh ya nini kuendelea na Starehe za Ulevi Wikiendi Mijini?
ReplyDeleteSi ndio Ukombozi umepatikana kwa kwenda Utalii wa ndani kama wenzetu walivyofaidi?
Hahahaha Mheshimiwa Mtoa Maoni wa 6 juu hii ni Camping Safari hivyo tusitegemee vyombo vya udongo vyenye hadhi ya juu kama tupo nyumbani au Hoteli ya Nyota 5 au Matawi ya juu!
ReplyDeleteDaima panatumika 'make shift utensils' yaani vyombo vya muda.
Mara zote Safari za Camping inakuwa kama mpo Jeshini,
-Unaweza kukuta usishangae ukanywa maji kwa kutumia Sinia au Ungo badala ya kikombe!,
-Ama Ubwabwa ukapakuliwa kwa Chepeo au Sepetu la kujengea Zege!
Hizo zote matumizi ya vifaa ndivyo sivyo ni sehemu ya raha ya maisha ya Kikambi kambi iliuojionee tofauti and 'Discover a new world with a new order'!
Mwanawane Safari ya Kambini mchezo?
Travelling is life!
ReplyDeleteNi nafasi nzuri sana ya kutoa stress za maisha vichwani mwetu kwa kushiriki safari kama hii.
Sio siri jamaa wame enjoy sana kwa kweli.
Lakeland mmefanya mwanzo mzuri sana!, na tunawaombea maendeleo zaidi na zaidi!!!
Ndio maana unakuta pana mambo mengi sana ambayo wanayajua Wageni hasa Wazungu waliokuja Kutalii hapa Tanzania wakati sisi wenyewe wenye nchi hatuyajui...hii yote ni sababu ya kukosa Kutalii na kuijua vema nchi yetu!
Kwa kweli ilikuwa ni aibu saaana Tanzania tunapokea Watalii mamia kwa mamilioni huku wenyewe tukiwa hata hatuufanyi Utalii !