Wasamaria wema wakijitahidi kumtoa Jamaa nje ya gari baada ya kupata ajali ya kupindukia mtaroni miguu juu sehemu za Mbezi chini karibu na Executive Pub jijini Dar es salaam asubuhi hii. Haikuweza kujulikana mara moja chanzo cha ajali hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Raha ya kutanua hiyo bana. Ila poleee

    ReplyDelete
  2. safi sana hawa wenye hivi vigari ViALTEZA wanajidai sana barabarani yaani huwa wanaonaga vigari vyao vinakimbia kuliko VX na VOGUE,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...