Vijana wachuuzi wa biashara ya madafu wakielekea katikati ya jiji,jijini Dar wakitokea Kigamboni mapema leo mara baada ya kunaswa na Camera ya Globu ya Jamii,Wachuuzi hao huuza dafu moja kwa bei ya kati ya shilingi 500 mpaka 1000.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mjomba Michuzi,

    Tunaamini wewe ni Mtaalamu mzuri sana wa Lugha ya Kiswahili tena kile chenyewe cha kujihami.

    Ningependa Kichwa cha Habari kisomeke hivi ''HUDUMA YA MADAFU KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM'' badala ya ''BIASHARA YA MADAFU KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM'' !!!

    Hii tusiwatishe wandugu Majuu wasije wakaona msoto upo Bongo watu wote wanaishi kwa kuuza Madafu!

    Kama pia unavyojua Ankali nje tunasomeka kuwa tumeshapata utajiri wa Gesi ,Mafuta na Madini sasa leo tena tuonekane tunakokotana na mabasikeli Jijini Dar ya kuuza madafu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...