WAZIRI WA MWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. MAKAME MBARAWA (KUSHOTO) AKIKABIDHI MFANO WA HUNDI YA SH MIL. 307,440,000/=KWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,DR. EMMANUEL NCHIMBI (KULIA),IKIWA NI MCHANGO WA TAASISI YA COSTECH KWA JESHI LA POLISI.KATIKATI NI MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SAID MWEMA PAMOJA NA MKURUGENZI MKUU WA COSTECH.
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SAID MWEMA AKIZUNGUMZA NA WAANDIHI WA HABARI KUHUSU JITIHADA ZA COSTECH KUSAIDIA UTAFITI WA JESHI LA POLISI NCHINI NA TAFITI NYINGINE,PEMBENI YAKE NI AFISA UHUSIANO WA COSTECH,BW. THEOPHIL LAURIAN PIMA
MKURUGENZI MKUU WA COSTECH DR HASSAN MSHINDA AKIZUNGUMZA NA WAANDIHI WA HABARI KUHUSU JITIHADA ZA COSTECH KUSAIDIA UTAFITI WA JESHI LA POLISI NCHINI NA TAFITI NYINGINE.
PICHA YA PAMOJA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...