CHAMA CHA WAFANYABIASHARA (TCCIA) KINAKUKARIBISHA KWENYE MKUTANO KUHUSU MATUMIZI YA MASHINE ZA KODI ZA KIELETRONIKI (EFD) NA MASUALA MBALIMBALI YAHUSIANAYO NA KODI. 
MBALI NA MKUTANO WAALIKWA WOTE WATAOBWA KUSHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA.
WILAYA YA TEMEKE
MKUTANO UTAFANYIKA KESHO TAREHE       20/03/2013
UKUMBI : MGULANI JKT
KUANZIA : SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI
WILAYA YA KINONDONI
MKUTANO UTAFANYIKA KESHO TAREHE       20/03/2013
UKUMBI : ROMBO GREEN VIEW- SHEKILANGO- UBUNGO
KUANZIA : SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI

KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA MKUTANO HUU. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...