Salaam Ankal,
Naomba kukufahamisha kwamba ile Leseni ya udereva iliyookotwa jana maeneo ya Boko barabara ya Ununio DSM Tz,mwenyewe tayari amepatikana na amekabidhiwa.
Wadau bado wanaendelea kunipigia simu nadhani ni vizuri wakifahamishwa hili.
Ahsante sana na Lidumu Libeneke la Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...