Asalaam alaykhum wajina,
Nimeinasa taswira hii leo jmosi wakati naangalia taarifa ya habari ya dunia toka CNN na kuona jamaa wanaripoti kuanguka kwa jengo Tanzania na kuainisha chanzo cha habari ni ISSAMICHUZI BLOG. Hongera sana wajina hawa jamaa wamerusha habari hii kwa kujiamini wakiwa na imani imetoka katika chanzo cha habari kinachoaminika na chenye kutoa habari fasta kuliko vyote nchini.
BLOG YA JAMII ISONGE MBELE.
Chef Issa

ReplyDeleteBig up Ankal
SAFI SANA HII, JAMAA WANAKOPA MA NEWS
ReplyDeletePOLEN WATANZANIA WENZANGU KWA KIPINDI KIGUMU KILICHOFANAN NA BOTI LILOZAMA UOKOAJI WA SHIDA.
ReplyDeleteNA MIE NIMEFURAHI KUONA KTK BBC NIKIWA SWEDEN
WAANDISHI TANZANIA TUBADILI MFUMO WA KULIANDIKA JAMBO
ReplyDeleteNIMESOMA IPPMEDIA LEO ETI MTU ANAANDIKA RAISI ALITEMBELEA KUONA KASI ZA UOKOAJI.LAKINI ALISHINDWA KUFIKA KARIBU NA TUKIO BAADA YA MAAFISA WA USALAMA KUMTAHADHARISHA JENGO LINGINE LA JIRANI HALIPO KTK KIWANGO CHA UBORA .
JE HAWAONI UANDISHI NI FELI INAMAANA WALE WALIOKUA KARIBU NDO WAANGUKIWE
MWANDISH BERTA SHAYO 31 MARCH 2013
ANKAL kwema, ee bwana nilikuwa nacheki kipindi cha Uswazi nikamuona jamaa mmoja wa longtime Athumani Digadiga, alichosema Digadiga ni kuwa wakiwezeshwa yeye pamoja na madancer wenzake wa zamani watafanya kufufuru ya kufa mtu. Sasa Ankal kwanini usiwadhamini hawa jamaa wakapiga show najua sie vijana wa zamani tutatoa sapport, anasema wenzake wengi wapo na wanapatikana. Digadiga na limwili lake kwa sasa kaweza kujibinua hakika ng'ombe hazeeki maini. Mtafute muweke mambo sawa, hela hiyo AUNCLE!
ReplyDeleteBig up sana Ankal, Michuzi Blog Team, na Uongozi wake maana wote mmehusika kwa kuiweka globu ya jamii juu duniani!
ReplyDeleteHip hip hooray! Viva Michuzi Globu!