Home
Unlabelled
Habari za Tanzania kwa kina toka TBC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
thank you ankal, ulete hii kila siku tusikie na sisi tulio hukoooo......
ReplyDeletena siyo TBC tu leta na Star TV, ITV chanel 10 etc! wale si wanaleta magazeti, weye lete taarifa ya habari!
Swali Ankal. Hivi kwanini viongozi wa serikali wamekuwa mstari wa mbele kuhamia kwenye misikiti na makanisa? Hivi katiba yetu haiweki separation ya Church/Misikiti na State? Mimi naamini ni ku misuse pesa za walipa kodi. Kazi za makanisa ni za ma Padre na kazi za misikiti ni za ma Sheikh. Hivi vitu vya kujihusisha sana na dini athari zake zitakuwa siyo nzuri huko tuendako. Serikali ijitoe kabisaa kwenye mambo ya kuchangisha ujenzi wa makanisa. Wanaweza kuweka hizo nguvu kwenye michango ya Mashule, Mahospitali, Visima vya maji etc. Huo ni ushauri wangu mdogo. Mdau, CA, USA
ReplyDeleteMdau, CA, USA
ReplyDeleteMakanisani na Misikitini kuna viongozi wanasikilizwa na kufuatwa bila kuhoji kwa hiyo mbali na kuwa serikali haina dini, viongozi wa serikali wana dini hivyo si vibaya kuhudhuria. Lakini la muhimu zaidi ni kuwa watu wanaweza kukuunga mkono bila kuhoji ukitaka kugombea nafasi ya uongozi kwa kuwa kiongozi wa kiroho kasema "unafaa".
Zaidi ya hayo sioni sababu ya kututangazia fulani kachangia nini kwenye kanisa gani na wapi. Pengine imefika wakati wa kutolewa maelezo ya kina ya fedha zinazotolewa kwenye mazingira haya kuepuka kutakatisha kwa kubariki fedha chafu kwenye shughuli za kidini. Zijulikane zimetoka wapi na nani katoa nini na vyanzo vyake vya pesa ni vip?