Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Yasin usimsikilize huyo John, Waislam wanajukumu la kuangalia wazee wao. Pia Bongo watu wanasaidia ndugu zao maana hakuna kazi. Sasa unataka dada zako wajiuze huku maana kazi hakuna na hakuna benefit au welfare. Watu kibao wa ughaibuni wameendelea kwa kushirikiana na ngudu zao wa huko Bongo. Kuna watu wanaletea ndugu zao "Used" kama mafriji, magari, machine, n.k. Wengine wasiokuwa na akili wanakula mali matokeo yake ugomvi unaingia na wanajiharibia wao wenyewe.

    ReplyDelete
  2. jamani nisaidieni kunielimisha hivi mtu unaweza vaa kofia (cap) ndani ya nyumba? mimi nilidhani ni kwa ajili ya kujikinga na jua? na miwani je? sio ya jua kweli hiyo?

    Tuje kwenye mada, mzazi ni mzazi haijalishi alikutelekeza au la, kama unaweza kumsaidia msaidie tu, usifanye jino kwa jino, haita kufaidi kitu, lipa mabaya kwa mema upate baraka za Mungu.

    Bongo watu wenye cholesterol ni wengi hasa middle class na upper class. Hata watoto kuna watoto hizi shule za English medium wamenenepeana hadi wanatisha. Jamani msibebeshe watoto chips kuku(wa kisasa) na sausage na mayai(ya kisasa) na soda mkidhani ni ufaharai mnaumiza watoto. mpatie juice fresh, au matunda fresh na ndizi mzuzu(za kuchemsha sio kukangaa) n.k

    Mwisho kabisa kama unaweza kusaidia mtu saidia, hata hapo tanzania watu wenyewe kwa wenyewe wasaidiane, tena misaada inayofaa siyo bora msaada, ukimsaidia mtu kupata kazi au elimu huo ni msaada unao faa maana na yeye ataweza kumsaidia mwingine.

    Ila ukiwa unamsaidia hela ya chakula tu kila siku huo ni msaada usio faa mwishowe na wewe mtoa msaada utachoka.



    Bongo

    ReplyDelete
  3. Nawapenda sana hawa ndugu wanasema ukweli, tupende tusipende.ENDEELENI KUELIMSHA JAMII.

    ReplyDelete
  4. We Anonymous wa kwanza unaAKILI kweli wewe?!Unaposema UISLAM unamaanisha nini?! Wacha kuongea ujinga eti watu wanapeleke vitu used we unajua hivyo vitu used vinapatikanaje? talk sense man.Kama UISLAM basi huyo YASIN asingekuwa nakunywa BIA hapo. Hivi kwa nini watu wengine mnakuwa na unafiki hivi?! Kwani kuwa MUISLAM ndiyo guarantee ya kwenda peponi? Tusiwe hivyo jamaa aibuu wandugu. Hawa jamaa wanaelinisha jamii na nakuhakikishia in few months to come hii show itakuwa maarufu sana. I believe in those guys. WASHKAJI KAZENI BUTI.
    MDAU
    PARIS

    ReplyDelete
  5. Hawa kaka wanaongea ukweli mtupu .watu hatulali huku majuu kisa tunasaidia watu wa bongo.I love this two brothers , people in bongo thinks that we are in heaven but we are really suffer, working working working ,

    ReplyDelete
  6. Anony wa Wed Mar 06, 07:06:00 am 2013 working is not suffering! Jifunze kufurahia kazi yako utaenjoy kufanya kazi pia kazi ni uhai.Binadamu hatukuumbwa kukaa tuu na kula kama ndege, tumeumbwa tufanye kazi.

    ReplyDelete
  7. Brother Benja, Yasin Na brother Jabir hongereni sana kwa kuielimisha jamii kwa staili yenu. Nimependa sana

    ReplyDelete
  8. wabongo wametumaliza sana wabeba mabox (western union ) jamaa wameongea ukweli mtupu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...