Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Huyo jamaa mbishi mwenye drafti ni zaidi ya Mbwiga (Mkole wa Nyani Kibwaya Mkia) wa Clouds FM Sports. Dah! Anatumia nguvu sana kuongea. Lazima akilala anakuwa HOI sana.

    ReplyDelete
  2. kipindi kizuri ila maoni yangu ni haya: watu wapeane nafasi ya kuzungumza views zao. Watu wajifunze kuwa kila mtu ana mitazamo yake, na hamna mtazamo ulio sahihi kuliko wa mwingine. Hivyo mtu akiongea asilazimishe wenzake kukubaliana na yeye.

    ReplyDelete
  3. anae ongoza hiki kipindi awe makini kuhakikisha kila mtu anapata nafasi ya kuongea, kuna watu hapo wanapenda kuongea sana, na kutaka mawazo yao ndio yatawale, wengine wanakosa nafasi ya kuongea. Ona huyo kaka mwenye shati jekundi anavyo pata shida kuomba nafasi ya kuongea.

    ReplyDelete
  4. Mjadala mzuri inaoneka hapo Benja yuko against the world!!BUT kiukweli Benja ndo yuko right..ndoa nyingi za wabongo ughaibuni ziko kinafiki watu hawapendani wanaishi ili maisha yaende na wanaume wa kibongo wanakamuliwa sana na wanawake wa kibongo mno..pesa ya mwanamme ndo ilishe familia na ya mwanamke inaenda kwao bongo kujenga nyumbani kwao matokeo yake wanaume wengi wa kibongo familia zao zinakua nyuma kimaisha!!!kaka Benja uko right mapenzi hayachagui umri wala kabila..ni maelewano tuu...UKWELI UTABAKIA NDOA NYINGI ZA WABONGO UGHAIBUNI NI ZA KINAFIKI HAKUNA MAPENZI YA KWELI!!!!
    Mdau wa LONDON.

    ReplyDelete
  5. Mi pia namuunga mkono, Kaka Benja apo Ni kweli kabisa ndoa za wabongo kwa wabongo ni rawama tupu apa ulaya. Ukitaka kujipunguzia matatizo msikilize Benja apo alikosema ukiwa na mwenyeji wa nnchi majukumu yanapungua, hakuna bibi mgonjwa inatakiwa ela mala hiki mala pale. wewe utakuwa na kazi yako na kusaidia kutakuwa ni upande mmoja tu. Hiii inaleta wepesi wa Maisha na apo mnaweza kuwa na na angalau kauwezo na nyinyi pia kwenda likizo kutumia Maisha kama wengine badala ya kazi kazi na kusaidia nyumbani pande zote mbili. ndio kunawakati mtu unakumbuka kwenu ndio maana wengi utoka nnje ya ndoa kukumbushia lakini hii ni Tabia ya mtu na haiwezi kulekebishwa. Hii iko pando zote mbili ni kwa wa dada zetu na ata sisi wanaume wengi utoka nnje ya ndio´. ni majadiliano mazuri sana nimeyapenda.
    Mdau wa DK.

    ReplyDelete
  6. wewe shati la draft unajichanganya kiwazi wazi. kwa upande mmoja unakandia wa tz kwa kutoka nje ya ndoa na upande mwingine na wewe una hao serengeti girls!

    ReplyDelete
  7. Tunataka mawazo ya akina dada pia, kila siku midume

    ReplyDelete
  8. Jamaa mwenye shati la draft anajazba sana tunaomba aongee kwa sauti ya chini kidogo.

    ReplyDelete
  9. noma sana,jamaa unakandaa wabongo wakati una dada wa kibongo kwahiyo unafataga ugali na dagaa sio,dada amka unatumiwa na mmarekani amka pia unatumia,na uache jazba.

    ReplyDelete
  10. Kuna watu hapo wanatoa personal zao,kipindi kizuri sana but nashauri badilisheni sehemu mbona kuna sehemu nyingi tu za kurekodi kama mnaweza kuoma seska,swakili,kilimanjaro majumbani kwa haohao washiriki,barabarani,uwanja wa mpira,hATA KWENYE NGAZI ZA APARTMENTS I MEAN SOME NEW SOME YUNIKI, yaani sehemu nyingi tu,TUNAOMBA NA MADADA ZETU PIA MUWAWEKE.aSANTE SANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...