Yanga ya Dar es Salaam, imetoka suluhu ya 0-0 na timu ya Polisi katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Simba nayo imetoka sare ya mabao 2-2 na Toto Afrika ya Mwanza katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza.
Katika Ligi hiyo ya Vodacom, Azam imeibuka kidedea kwa kuifunga Ruvu Stars 1- 0 katika mechi iliyochewa Uwanja wa Mabatini mjini Kibaha, Pwani. Soma habari kamili hapo...
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...