Mafundi wakiwa katika harakati za kuweka taa zinazotumia  nguvu  ya jua katika barabara za Michenzani, Zanzibar, leo
Picha na mdau Sabry Juma wa Zanzibar Car Hire Limited.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mlikuwa wapi siku zote hizo, hayo majumba mnayo yaekea taa saiv ni yanabomoka yenyewe ni scrapt. msitegemee alioyafanya marehemu karume fanyeni jambo lenu tuone kama litashinda maendeleo aliyoyafanya marehemu ambae hata shule alikimbia umande.

    ReplyDelete
  2. Taa zilikuwepo ni kuwa wanabadilisha mfumo na sasa watatumia solar. Michenzani oyeeee...!

    ReplyDelete
  3. Thanks for another excellent post. Where else could anybody get that type of info in such an ideal way of writing? In my opinion, my seeking has ended now. Zanzibar rent a car

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...