Malaika Team wakitoa maelezo kwa wateja waliofika kwenye maonyesho ya bidhaa wanazozikodisha kwa ajili ya matukio na hafla mbali mbali zikiwemo Harusi, mikutano, sherehe za kuzaliwa n.k. Onesho la Malaika limefanyika mwishoni mwa wiki katika jengo la Kida Plaza, Mikocheni, jijini Dar es salaam. Wao ni kinadada wajasiriamali waliopania kuleta vitu vyenye ubora wa kimataifa katika kila aina ya minuso. Chini ni kadi yao ya mwaliko pamoja na contacts zao... |
Baadhi ya wateja wakiangalia thamani hizo zenye ubora na za kupendeza.
thamani ni gharama au value... zinaitwa samani au furniture
ReplyDelete