Mhe.Balozi Kamalla ambae pia ni Mwenyekiti wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wenye uwakilishi nchini Ubelgiji akiongoza kikao cha taarifa (briefing) alichowaandalia wabunge toka nchi za Afrika walioko Brussels, Ubelgiji kushiriki Mkutano wa ACP/EU.
Naibu Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Mhe.Deodorus Kamalla.Mhe.Naibu Spika na Ujumbe wake wako nchini Ubelgiji ambako wanashiriki mikutano ya Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribbean Pacific na Jumuiya ya Ulaya (ACP/EU).Wengine picha ni maafisa wa Ubalozi wa Tanzania Nd.Cheche na Mama Kayola.
Mhe.Masoud Abdallah Salim (pili kulia) na Nd Aggrey Nzowa wakishiriki katika mkutano wa awali wa taarifa (briefing) ulioandaliwa na Mabalozi toka Nchi za Umoja wa Afrika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...