Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,Seraphin Lusala (kulia) akipeana mkono na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba Mwekundu Kanda ya Dar es Salaam,Haiden Ricco wakati wa kukabidhi chakula kwa ajili ya wale wanaondelea na shughuli ya uokoji wa watu waliofukiwa na kifusi cha jengo lililoporomoka jana maeneo ya katikati ya jiji la Dar.Wa pili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa Hoteli ya Serena,Daniel Sambai.
  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,Seraphin Lusala (katikati) akizungumza na baadhi ya wasaidizi wa huduma ya chakula katika Ukumbi wa Taasisi ya Agha Khan Ismailia uliopo Mtaa wa Mosque,mara baadha ya kukabidhi vyakula kutoka Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
 Chakula kikiendelea kuletwa kutoka Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 baadhi ya wasaidizi wa huduma ya chakula katika Ukumbi wa Taasisi ya Agha Khan Ismailia uliopo Mtaa wa Mosque wakihadithia namna hali ilivyo katika zoezi zima la uokoaji wa watu waliofukiwa na kifusi.
Picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni kwa kuwafikiria waokoaji.

    Huyo jamaa aliyevimba hapo kulia inaonekan ndiye anayoonja chakula kabla hakija seviwa kwa wateja nini? Ni vizuri angekuwa anaishia kuonja tu. Inaonekana huwa anakula kabisa badala ya kuonja tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...