Watumishi
Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja nje
ya ofisi za wizara hiyo kabla ya kuanza maandamano kuelekea katika viwanja vya
Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Mama Lilian Mapfa.
Home
Unlabelled
WATUMISHI WANAWAKE WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...