Home
Unlabelled
ALAMA ZA BARABARANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
...mwanzo mzuri, tunazihitaji kama hizo nyingi, pia lugha mbili muhimu kwa jamii zote...keep it up!
ReplyDeleteKwani hakuna directives kutoka wizarani kuhusu standard ya alama za barabarani?Mh magufuli na wizara yake ningeomba hilo alifanyie kazi kwa sababu anajenga barabara za gharama kubwa ila hajainvest much kwenye alama na pia pavements zibudgetiwe jamani hivi nchi yetu itaendelea kuwa ya kufikirika tu.hapa uingereza alama za barabarani ni muhimu sana na kama ukipata matatizo kwa sababu ya alama za barabarani unaweza kuwasue.sasa hivi tujue umuhimu wa globalization jamani.TUNATISHA.
ReplyDeleteHapa siyo mitaa ya Nzega,Tinde,Isaka?Ndugu yangu namba mbili.Alama barabarani zinawekwa sehemu nyingi.Kuna bahadhi yetu wanazing'oa(kwa sababu wanazozifahamu wao).Barabara zenyewe hazina viwango,hii imeshabomoka wanaweka Kiraka angalia kifusi ubavuni mwa hilo lori.Lori limeshatanua
ReplyDelete