Ankal na bendi yake aliyoipa jina la Orchestre les Libeneke akiwa mazoezini na vijana wake kwenye kambi ambayo kwa sasa jina kapuni kwa kuhofia wadaku. Tayari bendi hiyo ina nyimbo nne huku ikifanyia kazi mbili zaidi, kabla ya kuingia studio kurekodi.
Akiongea na mwandishi wetu wa maswala ya burudani kwa njia ya simu, Ankal amesema ameamua kujiingiza katika muziki kwani umo ndani ya damu yake ambapo kaka yake mkubwa Ismail ni mmoja wa waanzilishi na wanamuziki wa awali wa Dar International ya Marijani Rajabu. Pia Ankal anasema anafanya sana mazoezi na Wananjenje na hivi sasa anakaribia kuhitimu kupiga drums.
Hakupenda kuweka bayana bendi itazinduliwa lini na wapi, ila alisisitiza ni kabla ya SabaSaba mwaka huu. Hivi sasa anatafutwa producer mkali wa kurekodi nyimbo zao pamoja na video. Huenda wakamtumia tiketi Producer mkali Miika Mwamba aliko huko Sweden aje ashurikiane na wakali wa nyumbani kufanya vituzzzz.
Ankal akiwa na kijana wake Omary Makuka ambaye naye alipigia Dar International. Kwa sasa wanakamilisha nyimbo mbili za mwishio kabla ya kuingia studio. Katika hizo sita mbili ni 'Remix' ya ngoma za
Marijani Rajabu 'Mayasa' na 'Rosa Nenda Shule'
Uzinduzi lini na wapi? Ningependa kukuona unaimba.
ReplyDeletehappy fools day
ReplyDeleteAPRIL FOOLS.....
ReplyDeleteAsante kwa kuniamsha na joke ya mwaka ankal!!!
Saafi sana ankal tuko pamoja!
ReplyDeleteNi kweli Ankal, nimekuona live na bendi jana sikukuu ya Pasaka kule mbugani halafu Kibo Sounds wakapanda jukwaani kuwapeni muda wa kupumua baada ya bendi yako Orch Les Libeneke kulazimishwa kupinga muziki masaa sita bila mapumziko na wadau uliopagawa na kazi yenu nzuri, show ilikuwa siyo mchezo.
ReplyDeletelini bebdi yako itafanya collabo na Msondo Ngoma au Mlimani Park ili wadau wa Dsm nao wafaidi?
Mdau
Mtalii wa Ndani
1 April safi sana
ReplyDeleteFools day... Thank you sir.
ReplyDeletehapa utawapata wengi ANKAL
ReplyDeleteGood try Ankal.
ReplyDeleteSiku ya wa..... hoyeeeee.
Mwilima, NYC
Bw. Michuzi leo ni siku ya wajinga dunia!!!
ReplyDeleteLeo ni siku ya wajinga, wadaganye!
ReplyDeleteSiku ya wajinga duniani
ReplyDeleteHAHAHAHAHAHA DAH.. VERY SOON UNCLE UTAANZISHA CLUB YAKO YA MPIRA ( FC. LIBENEKE)
ReplyDeleteBY TH WAY LEO NDO 1ST APRIL SIO???????????????????
Hongera sana ankal,kwahiyo unakwenda kama Nyoshi William?anyway kwangu leo hujanipata.
ReplyDeleteMDAU TOKA K'KOO
kazi ipo
ReplyDeleteApril fools day. Well try not this time ingawa una sauti kama ya Michael Jackson but this sounds fake April fools day.
ReplyDeletekwikwikwi. hahahaha..mbavu zangu kwishnehy..
ReplyDelete2015 ntakubook kwenye kampen zangu za ubunge kwa tkt ya M4C. tafadhali usinisepe
mdau USA
Sikukuu ya wajingaaa, SIDANGANYIKI
ReplyDeleteWilly
Ankal haya sio mambo ya 1st April kweli? teheteheteheeee!!
ReplyDeleteSiku ya wajinga Leo, Hanna cha bendi wala kwaya, producer wala dj, Sweden wala mbagala.
ReplyDeleteFools day ankal ujatupata hapo! Band na ankal wapi na wapi........camera zitaota kutu
ReplyDeleteTafadhali!!!!,tafadhali!!!!Ankal hatutaki wawepo wacheza show maana vijana wa siku hizi wa zama za dijitali hawana adabu hata kidogo maana nina hakika mapigo ya bendi yetu yatakuwa ni ya kiutu uzima ya zama za analoji.
ReplyDeleteANKAL APRIL MOSI NINI?
ReplyDeleteApril Fool!!!!!!!!!!
ReplyDeleteApril 1
ReplyDeleteSikukuu Ya ......
ReplyDeleteleo mjomba umpati mtuuuuu
ReplyDelete1st April, fools' day!!!!1
ReplyDeleteApril fool!! Hamnipati ng'o nimewashtukia!!
ReplyDeletewajingaz day! Humpati mtu ankal
ReplyDeleteYes, one of the best April Fools prank I have seen so far!
ReplyDeleteHongera sana uncle Michuzi
ReplyDeleteAnkal hiyo umpati mtu
ReplyDeleteankali sio mbaya kuchangamsha blog lakini tuangalie hizi skukuu tunazozishabikia zina faifa gani kwa sisi wabantu?
ReplyDeletehivi kweli sisi wabantu na skukuu za kuiga tunaendana au ndio kwenye msafara wa wanyama hata panya yupo?
hizi skuu za wajinga hatuna haja nazo sisi wabantu tupiganie njaa zetu
wenzetu wameshashinda hili game la maisha ndio ukaona wanakuwa na skuu za ajabu ajabu
wenzetu hawana shida ya UMEME,MAJI,NJAA,ELIMU,MATIBABU,KAZI,MAKAZI,N.K
Shukrani kwa kutuchangamsha lakini kiukweli tusizifate hizi sio zetu.
Mhhhh!!!machale yamenicheza,SIKU YA WAJINGA.
ReplyDeleteApril fools!
ReplyDeletePole ankal! kidogo umechelewa baba Sela mbona wenzio wameanzaga mapema sana ushindani utauweza na Banza, Ila pia nikupe hongera, angalau utasema ulijaribugi
ReplyDeleteLeo ni April 1st? Nimekubamba!
ReplyDeleteMnh! Ankal, leo ni siku ya wajinga.
ReplyDeleteHII NDIO MAANA YA MJASIRIMALI AU ENTREPRENEUR ankal unakipaji hiki
ReplyDeleteI Hope sio April fools day
ReplyDeleteapril fools..hahaa ankaaaal
ReplyDeleteankal hujakamata hata mmoja! leo umekamatwa weye yakhe
ReplyDelete--bpm
hongera lakini mbona unaimba huku umeshika simu?
ReplyDeleteFools day au?
ReplyDeleteAnkal - Hongera, lakini siyo sikukuu ya wajinga hii
ReplyDeleteSiku ya awnings
ReplyDeleteApril 1, everyone knows that.
ReplyDeleteAnkal,judging by the date of this post;I think you are pulling my leg...Happy april fools' day..
ReplyDeleteaaaaa ap-- foolish
ReplyDeleteHappy Fool's day!!
ReplyDelete*APRIL FOOLS DAY*!!!!!
ReplyDeleteankal leo ni sikukuu ya wajinga...hujui kuimba, hujui kucheza, una aibu sana kusimama mbele za watu, mkeo hata kuruhusu, huna kipaji...kiufupi si mwanamziki..!!
ReplyDeleteHapi april fools!
mdau
uswis
Ankal ! hongera sana sana,umepiga hatua kubwa sana sana,kila kitu kinawezekana,tunataka kuona vitu kama hivi vinavyodumisha na kuendeleza muziki wa dansi na utamaduni wa muziki wa dansi wa kiswahili.
ReplyDeleteSafi sana,babu kubwa.
wadau
FFU ughaibuni
April Fools?
ReplyDeleteTukumbuke leo ni 1-04-2013 yaani siku ya wajinga duniani,msisahau siku hii ya leo
ReplyDelete