Katibu Tawala wa wilaya ya Iringa Elvin Mwakajinga (katikati) akisaidiana kupanda Miti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa na Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam (kushoto) na Meneja Mauzo wa Grandmalt mikoa ya Iringa, Njombe na Songea, Raymond Degela. Upandaji miti huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa wakipanda Miti chuoni hapo, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...