Home
Unlabelled
GWARIDE LA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UWANJA WA UHURU JIJINI DAR APRIL 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
baraka ya gwaride toka miaka 49 faida gani tumenufaika na muungano huu tanganyika ipo wapi? tunataka tanganyika yetu na sisi
ReplyDeleteMdau wa Kwanza,
ReplyDeleteTanganyika ipo wapi?
1.Tulikwisha uza Almasi za Bara kwa Miaka 49 huku tukichangia na Mauzo ya Karafuu za Visiwani kuendesha mambo kama ndugu.
2.Tumesah zaliana sana tu, sasa leo tutasimamia wapi endapo mtu anakwenda Visiwani kwa Pasipoti na Viza na mtu anakuja Bara vivyo hivyo kwa Pasipoti na Viza?
3.Hakuna Ndoa ya lelemama, kama tunapishana tutakaa tutajadili na kupata muelekeo, suluhisho la Ndoa kutetereka sio Kutolewa kwa Talaka.
Tukumbuke Talaka ikitoka malezi ya watoto na vijukuu yatakuwa tete kwa mazingira hayo hapo juu ya kusafiri kwa Visa na Paipoti itu ambacho hakikuwepo kabla.
Upo hapo?
Mdau wa Kwanza,
ReplyDeleteHebu tueleze kwa Kifupi ukipewa hiyo Tanganyika utanufaika na lipi?