Home
Unlabelled
Kid President meets the President of the United States of America, Barack Obama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duhhh,
ReplyDeleteRaisi Mtoto anajiamini sana si mchezo anaweza!
We motto weee ukue na uwe na Uchu wa Uraisi kwa njia zinazokubalika.
ReplyDeleteIsiwe ukapata Kansa ya kuota Uraisi utotoni na matokeo yake ukawa Dikteta ukikua!
Ama weli Uraisi kila mmoja anautaka kama jinsi mtoto anavyouota lakini ni bahati mbaya sana Kiti hiki mtu anakitaka lakini akisha kaa anatamani kuondoka!
ReplyDeletehv hii bongo inaweza tokea? hachilia mbali afrika?!
ReplyDeleteSamahani lakini ni swali tu!
KID President/ Raisi Mtoto:
ReplyDeleteMadaraka atayamudu, isipokuwa Uraisi utakuwa mgumu kwake hapo Ikulu kama itatokea moja ya haya hapa chini:
1.Keki ya Birthday imekatwa Ikulu imegawiwa kwa wooote lakini Kid President amekosa, ohhh Raisi atalia!,,,hapo Uraisi utakuwa mzito kwake!
2.Pana safari wanaondoka wote Outing labda beach Disneyland lakini Kid President anaachwa Mjengoni!,,,ohhh Raisi atalia, hapo Uraisi utakuwa mgumu kwake!
3.Kwenye kiti alichokalia Uraisi pana wakati unatakiwa utoe maamuzi magumu mfano Adui ameonekana utoe amri ya vita,,,ohhh Raisi atalia na kuogopa, hapo Kid Preseident mtamtafuta !
Kwa hapo matatu hapo juu, Kid President atakuwa amezidiwa Madaraka yake yatakuwa ni magumu ni lazima atalia tu!