Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Abuu Mtambwe wakati wa mazoezi anayoendelea kuyafanya katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam.Class anajiandaa na mpambano wake wa mei mosi dhidi ya Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba.Picha na www.superdboxingcoach. |
Home
Unlabelled
KING CLASS MAWE AJIANDAA KUMKABILI AMOSI MWAMAKULA MEI MOSI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...