Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Je Rushwa ni Kiasi gani?

    Waombaji wanahitaji wajue waandae mawe mangapi au Kilo ngapi ili kuipata Nafasi hiyo ya kazi?

    Ni jambo la kawaida sana hapa Bongo Tambarale ukiomba kazi sehemu utaweza kusikia kutakiwa vitu kama au moja wapo ya vitu hivi:

    1.Mtu wa kati,
    2.Uchakavu na gharama za uenezi,
    3.Kitu Kidogo ama panga,
    4.Ada ya meza,
    5.Wadhamini. n.k.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...